Home » » MSAADA:SIKO FREE NASHINDWA KULALA NA MPENZI WANGU USIKU MZIMA-NAHOFIA KUJAMBA!!!!!!>>

MSAADA:SIKO FREE NASHINDWA KULALA NA MPENZI WANGU USIKU MZIMA-NAHOFIA KUJAMBA!!!!!!>>

TANGAZO

Nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na 
 
mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli 
 
kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye 
 
kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.
TANGAZO
Share this article :

Post a Comment