Tunapoamua
kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa bali ni our
choice Kufanya ng0no kusiko a.k.a 0713 “MWIKO” katika jamii nyingi
Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na inamadhara
makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na mafundisho ya
imani zetu za Dini.
Kinachofanyika
chumbani ni uamuzi wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana
na kufanya hivo na pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi
wengi tunafanya mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia
na tunazidi kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo
hayo ni “tab0o” ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uziNz!
Kuna
baadhi ya watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta
wanafurahia na hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua
“unajisikiaje” lakini wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na
hivyo wanaacha na kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.
Pamoja
na kuwa watu kuheshimu miiko ya dini zao, kupinga na kulisema vibaya
tendo hili wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwa mwanamke mmoja kati
ya wanne anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi
au ni wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.
Ukweli
kuhusu Tigo.- Sio tendo asilia ktk swala zima la ng0no na mapenzi hivyo
kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka
kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..wewe ndio
mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.
Kama unahisi unachokwenda kukifanya sio “n*atural*” na hujisikii vema kushiriki ng0no Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.
-Mara
mishipa ya Tigo ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa
haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya
shughuli hiyo.
-Wengi
tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini kuna wanawake
wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi hujigeuza kama njia
mbadala ya kuzuia mimba au kulinda bikira (zaidi ni ktk jamii ya
waarabu).
-Ukizoea
sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko kutanuka, basi inasemekana kuwa
utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa, si hivyo tu bali unaweza ukawa na
tatizo la kuvuja mkojo kwani hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni
ambayo hulegea baada ya kuzaa.
Swala
muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao wachague
mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa au kuitwa
miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa kuyazungumzia
na kuyatenda.
MADHARA MAKUU NI:
Mwanamke
anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua
ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu
kumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of col0n’.
Ugonjwa
wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea
mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida,
bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
hasara
yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni
rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu,
kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Paparaziwetu
inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote swala la Ng0no kusiko
(tigo) ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio mweye mwili na
unafanya vile utakavyo.
Ushuri
wa bure-Jiheshimu na thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya
kumfanya mume asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta
nyuma jamaa waliwahi pia.
Pia
anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata
kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na
kusababisha ambane mtoto.
Post a Comment