Home » » MADA: MWANAMKE MWEUSI NI MTAMU KULIKO MWANAMKE MWEUPE!!!

MADA: MWANAMKE MWEUSI NI MTAMU KULIKO MWANAMKE MWEUPE!!!

TANGAZO

Kumekuwa na mizozano ya hapa na pale kwenye vijiwe vya kahawa, mabwenini, barabarani, kazini, magetoni na sehemu nyingine kama hizo ambazo huwapa wanaume mwanya wa kujadili mapenzi, wanawake na uzuri wao.


Leo Mzee wa Makopaz amekutana na mada flani inayohusiana na 
utamu wa mwanamke katika  maeneo ya Chang`ombe, Dar Salaam kipindi ambacho wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) walipokuwa wanarudishia nguzo ya umeme iliyokuwa imeharibika. Mada ilikuwa ni tamu sana kiasi kwamba walishindwa kumaliza kazi kwa muda muafaka. Unajua tena, na matusi ya hapa na pale ndio kachumbari kwa wafanyakazi hao!!

TANGAZO
Share this article :

Post a Comment