Home » » Huyu MBUTA NANGA Unaweza Kumuona Fyatu na Kichaa..Lakini ni Mzima na Anajua Anachokifanya kwa Uchizi Wake>>CHEKI!

Huyu MBUTA NANGA Unaweza Kumuona Fyatu na Kichaa..Lakini ni Mzima na Anajua Anachokifanya kwa Uchizi Wake>>CHEKI!

TANGAZO


Ebhana eeeh! Huyu mdada unaweza kumuona fyatu, kichaa, kichwa ngumu na yote unayotaka. Lkn ni mzima kabisa ana akili timamu na anajua anachokifanya. Na anawapata wengi sana....mtamtukana, mtampost na pia mtaangalia kazi zake halafu yeye ndo furaha yake!!! Mi huwa namchukulia kama comedian simchukulii serious sana!

Hizo videos zake na ukichaa wake kila kitu kinaishia kumuingizia pesa....yaan very ceative. Na anapata wateja ni balaa anauza dozens and dozens...hizo chupi akishusha mzigo bongo watu watakimbilia kununua na kuuzia watu kama sio yeye aliyetengeneza.

Kila mmoja wetu kuna mahali ni dhaifu na mahali ana nguvu fulani.....dada @mbutanangablog ukiweza kujitahidi kujizuia hasira zako kwa wanaokuudhi. Utakuwa ni dada ambaye wengi wataiga mfano na kujivunia unatoka Tanzania...bila hivo wengi tutaendelea kukichukulia kimzaha tu...kumbe kuna kitu kikubwa cha thaman ndani yako.
TANGAZO
Share this article :

Post a Comment